Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 5:9 - Compare All Versions

Ufunuo 5:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, wakaimba wimbo huu mpya: “Wewe wastahili kukitwaa hicho kitabu na kuivunja mihuri yake. Kwa sababu wewe umechinjwa, na kwa damu yako umemnunulia Mungu wetu watu kutoka kila kabila, lugha, jamaa na taifa.

Shirikisha
Ufunuo 5 BHN

Ufunuo 5:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuifungua mihuri yake; kwa kuwa ulichinjwa, ukawa fidia kwa Mungu na kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa

Shirikisha
Ufunuo 5 SRUV

Ufunuo 5:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa

Shirikisha
Ufunuo 5 SUV

Ufunuo 5:9 NENO (Neno: Bibilia Takatifu 2025)

Nao wakaimba wimbo mpya, wakisema: “Wewe unastahili kukitwaa kitabu na kuivunja mihuri yake, kwa sababu ulichinjwa, na kwa damu yako ukamnunulia Mungu watu kutoka kila kabila, kila lugha, kila jamaa na kila taifa.

Shirikisha
Ufunuo 5 NENO