Ufunuo 3:7
Ufunuo 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa malaika wa kanisa la Filadelfia andika hivi: “Mimi niliye mtakatifu na wa kweli, ambaye nina ule ufunguo wa Daudi na ambaye hufungua na hakuna awezaye kufunga, hufunga na hakuna awezaye kufungua.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3Ufunuo 3:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kwa malaika wa kanisa lililoko Filadelfia andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye mtakatifu, aliye wa kweli, aliye na ufunguo wa Daudi, yeye mwenye kufungua wala hapana afungaye, naye afunga wala hapana afunguaye.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3