Ufunuo 22:4-5
Ufunuo 22:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Watauona uso wake, na jina lake litaandikwa juu ya paji za nyuso zao. Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, maana Bwana Mungu atawaangazia, nao watatawala milele na milele.
Ufunuo 22:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nao watamwona uso wake, na jina lake litakuwa katika vipaji vya nyuso zao. Wala hapatakuwa na usiku tena; wala hawana haja ya taa wala ya nuru ya jua; kwa kuwa Bwana Mungu huwatia nuru, nao watatawala hata milele na milele.
Ufunuo 22:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)