Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 22:4 - Compare All Versions

Ufunuo 22:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Watauona uso wake, na jina lake litaandikwa juu ya paji za nyuso zao.

Shirikisha
Ufunuo 22 BHN

Ufunuo 22:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

nao watamwona uso wake, na jina lake litakuwa katika vipaji vya nyuso zao.

Shirikisha
Ufunuo 22 SRUV

Ufunuo 22:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

nao watamwona uso wake, na jina lake litakuwa katika vipaji vya nyuso zao.

Shirikisha
Ufunuo 22 SUV

Ufunuo 22:4 NEN (Neno)

nao watamwona uso wake na Jina lake litakuwa kwenye paji za nyuso zao.

Shirikisha
Ufunuo 22 NEN