Ufunuo 22:2
Ufunuo 22:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mto huo ulitiririka kupitia katikati ya barabara kuu ya mji. Kandokando ya mto huo kulikuwa na mti wa uhai unaozaa matunda mara kumi na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake ni dawa ya kuwaponya watu wa mataifa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22Ufunuo 22:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
katikati ya njia yake kuu. Na upande huu na huu kando ya ule mto, ulikuwapo mti wa uzima, uzaao matunda, aina kumi na mbili, wenye kutoa matunda yake kila mwezi; na majani ya mti huo ni ya kuwaponya mataifa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22