Ufunuo 22:16
Ufunuo 22:16 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi, Yesu, nimemtuma malaika wangu awathibitishieni mambo haya katika makanisa. Mimi ni mzawa wa ukoo wa Daudi. Mimi ni nyota angavu ya asubuhi!”
Shirikisha
Soma Ufunuo 22Ufunuo 22:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzawa wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22