Ufunuo 21:27
Ufunuo 21:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini hakuna chochote kilicho najisi kitakachoingia humo; wala mtu yeyote atendaye mambo ya kuchukiza au ya uongo hataingia humo. Ni wale tu walioandikwa katika kitabu cha uhai cha Mwanakondoo ndio watakaoingia ndani.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ndani yake hakitaingia kamwe chochote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-kondoo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21