Ufunuo 20:5 - Compare All Versions
Ufunuo 20:5 BHN (Biblia Habari Njema)
(Wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka 1,000 itimie). Huu ndio ufufuo wa kwanza.
Shirikisha
Ufunuo 20 BHNUfunuo 20:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hao wafu waliobakia hawakuwa hai, hata itimie ile miaka elfu.
Shirikisha
Ufunuo 20 SRUVUfunuo 20:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wafu waliosalia hawakuwa hai, hata itimie ile miaka elfu.
Shirikisha
Ufunuo 20 SUVUfunuo 20:5 NEN (Neno)
(Wafu waliosalia hawakufufuka hadi ilipotimia hiyo miaka elfu.) Huu ndio ufufuo wa kwanza.
Shirikisha
Ufunuo 20 NEN