Ufunuo 20:1
Ufunuo 20:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, nikamwona malaika mmoja anashuka kutoka mbinguni akiwa na ufunguo wa kuzimu na mnyororo mkubwa mkononi mwake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 20Ufunuo 20:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, akiwa na ufunguo wa kuzimu, na mnyororo mkubwa mkononi mwake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 20