Ufunuo 19:4
Ufunuo 19:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Na wale wazee ishirini na wanne, na wale viumbe hai wanne, wakajitupa chini, wakamwabudu Mungu aliyeketi juu ya kiti cha enzi wakisema, “Amina! Asifiwe Mungu!”
Shirikisha
Soma Ufunuo 19Ufunuo 19:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wale wazee ishirini na wanne, na wale wenye uhai wanne, wakasujudu na kumwabudu Mungu, aketiye katika kile kiti cha enzi, wakisema, Amina, Haleluya.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19