Ufunuo 19:2
Ufunuo 19:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana hukumu yake ni ya kweli na ya haki. Amemhukumu yule mzinzi mkuu ambaye alikuwa ameipotosha dunia kwa uzinzi wake. Amemwadhibu kwa sababu ya kumwaga damu ya watumishi wake!”
Shirikisha
Soma Ufunuo 19Ufunuo 19:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa kuwa hukumu zake ni za kweli na haki; maana amemhukumu yule kahaba mkuu aliyeiharibu nchi kwa uasherati wake, na kuipatiliza damu ya watumwa wake mkononi mwake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19