Ufunuo 19:19
Ufunuo 19:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, nikaona yule mnyama pamoja na mfalme wa dunia na askari wao wamekusanyika pamoja kusudi wapigane na yule aliyekuwa ameketi juu ya farasi pamoja na jeshi lake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19Ufunuo 19:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha nikamwona huyo mnyama, na wafalme wa nchi, na majeshi yao, wamekutana kufanya vita na yeye aketiye juu ya farasi yule, tena na majeshi yake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19