Ufunuo 19:18
Ufunuo 19:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Njoni mkaitafune miili ya wafalme, ya majemadari, ya watu wenye nguvu, ya farasi na wapandafarasi wao; njoni mkaitafune miili ya watu wote: Walio huru na watumwa, wadogo na wakubwa.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 19Ufunuo 19:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mpate kula nyama ya wafalme, na nyama ya majemadari, na nyama ya watu hodari, na nyama ya farasi na ya watu wawapandao, na nyama ya watu wote, waungwana kwa watumwa, wadogo kwa wakubwa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19