Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 19:14 - Linganisha Matoleo Yote

Ufunuo 19:14 BHN (Biblia Habari Njema)

Majeshi ya mbinguni yalimfuata yakiwa yamepanda farasi weupe na yamevaa mavazi ya kitani, meupe na safi.

Shirikisha
Ufunuo 19 BHN

Ufunuo 19:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na majeshi yaliyo mbinguni wakamfuata, wamepanda farasi weupe na kuvikwa kitani nzuri, nyeupe, safi.

Shirikisha
Ufunuo 19 SUV

Ufunuo 19:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na majeshi yaliyo mbinguni wakamfuata, wamepanda farasi weupe na kuvikwa kitani nzuri, nyeupe, safi.

Shirikisha
Ufunuo 19 SRUV

Ufunuo 19:14 NEN (Neno)

Majeshi ya mbinguni walikuwa wakimfuata, wakiwa wamepanda farasi weupe, hali wamevaa mavazi ya kitani safi, nyeupe na nzuri.

Shirikisha
Ufunuo 19 NEN