Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 19:12 - Linganisha Matoleo Yote

Ufunuo 19:12 BHN (Biblia Habari Njema)

Macho yake ni kama mwali wa moto, na alikuwa amevaa taji nyingi kichwani. Alikuwa ameandikwa jina ambalo hakuna mtu alijuaye isipokuwa tu yeye mwenyewe.

Shirikisha
Ufunuo 19 BHN

Ufunuo 19:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe.

Shirikisha
Ufunuo 19 SUV

Ufunuo 19:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na macho yake yalikuwa kama muali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe.

Shirikisha
Ufunuo 19 SRUV

Ufunuo 19:12 NEN (Neno)

Macho yake ni kama miali ya moto na juu ya kichwa chake kuna taji nyingi. Ana jina lililoandikwa ambalo hakuna mtu yeyote anayelijua isipokuwa yeye mwenyewe.

Shirikisha
Ufunuo 19 NEN