Ufunuo 14:4
Ufunuo 14:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu hao ndio wale ambao hawakujichafua na wanawake, nao ni mabikira. Wao humfuata Mwanakondoo kokote aendako. Wamekombolewa kutoka miongoni mwa binadamu wengine, wakawa wa kwanza kutolewa kwa Mungu na kwa Mwanakondoo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 14Ufunuo 14:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hawa ndio wasiojitia unajisi na wanawake, kwa maana ni bikira. Hawa ndio wamfuatao Mwana-kondoo kila aendako. Hawa wamenunuliwa katika wanadamu, malimbuko kwa Mungu na kwa Mwana-kondoo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 14