Ufunuo 13:17
Ufunuo 13:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Akapiga marufuku mtu yeyote kununua au kuuza kitu isipokuwa tu mtu aliyetiwa alama hiyo, yaani jina la yule mnyama au tarakimu ya jina hilo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa awe na chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya herufi za jina lake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13