Ufunuo 13:16
Ufunuo 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliwalazimisha wote, wadogo na wakubwa, matajiri na maskini, watu huru na watumwa, watiwe alama juu ya mikono yao ya kulia au juu ya paji za nyuso zao.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kulia, au katika vipaji vya nyuso zao
Shirikisha
Soma Ufunuo 13