Ufunuo 13:10
Ufunuo 13:10 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“Ikiwa mtu ni wa kuchukuliwa mateka, atachukuliwa mateka. Ikiwa mtu ni wa kuuawa kwa upanga, atauawa kwa upanga.” Hapa ndipo penye wito wa subira na imani ya watakatifu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliyepangiwa kuchukuliwa mateka lazima atatekwa; wa kuuawa kwa upanga atauawa kwa upanga. Hivyo, watu wa Mungu na wawe na uvumilivu na imani.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu akichukua mateka, atachukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13