Ufunuo 12:7
Ufunuo 12:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake
Shirikisha
Soma Ufunuo 12Ufunuo 12:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, kukazuka vita mbinguni: Mikaeli na malaika wake walipigana na hilo joka, nalo likawashambulia pamoja na malaika wake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 12Ufunuo 12:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika wake wakapigana na lile joka, lile joka nalo likapigana nao pamoja na malaika wake
Shirikisha
Soma Ufunuo 12