Ufunuo 12:17
Ufunuo 12:17 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kisha lile joka likapatwa na hasira kali kwa ajili ya huyo mwanamke na likaondoka ili kupigana vita na wazawa waliosalia wa huyo mwanamke, yaani wale wanaozitii amri za Mungu na kuushika ushuhuda wa Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 12Ufunuo 12:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, joka hilo likamkasirikia huyo mama, likajiondokea, likaenda kupigana na wazawa wengine wa huyo mama, yaani wote wanaotii amri za Mungu na kumshuhudia Yesu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 12Ufunuo 12:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Joka likamkasirikia yule mwanamke, likaenda zake lifanye vita juu ya wazawa wake waliobakia, wanaozishika amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; nalo likasimama juu ya mchanga wa bahari.
Shirikisha
Soma Ufunuo 12