Ufunuo 10:9
Ufunuo 10:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nikamwendea huyo malaika, nikamwambia anipe hicho kitabu kidogo. Naye akaniambia, “Kichukue, ukile. Kinywani mwako kitakuwa kitamu kama asali, lakini tumboni kitakuwa kichungu!”
Shirikisha
Soma Ufunuo 10Ufunuo 10:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikamwendea malaika yule nikamwambia kwamba anipe kile kitabu kidogo. Akaniambia, Kitwae, ukile, nacho kitakutia uchungu tumboni mwako, bali katika kinywa chako kitakuwa kitamu kama asali.
Shirikisha
Soma Ufunuo 10