Ufunuo 1:13
Ufunuo 1:13 Biblia Habari Njema (BHN)
na katikati yake kulikuwa na kitu kama Mwana wa Mtu, naye alikuwa amevaa kanzu ndefu na mkanda wa dhahabu kifuani.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1Ufunuo 1:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na katikati ya vile vinara nikaona mtu mfano wa Mwanadamu, amevaa vazi lililofika miguuni, na kufungwa mshipi wa dhahabu kifuani
Shirikisha
Soma Ufunuo 1