Zaburi 97:2 - Compare All Versions
Zaburi 97:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Mawingu na giza nene vyamzunguka; uadilifu na haki ni msingi wa utawala wake.
Shirikisha
Zaburi 97 BHNZaburi 97:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mawingu na giza vyamzunguka, Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.
Shirikisha
Zaburi 97 SUVZaburi 97:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mawingu na giza vyamzunguka, Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.
Shirikisha
Zaburi 97 SRUVZaburi 97:2 NEN (Neno)
Mawingu na giza nene vinamzunguka, haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake cha enzi.
Shirikisha
Zaburi 97 NEN