Zaburi 96:11 - Compare All Versions
Zaburi 96:11 BHN (Biblia Habari Njema)
Furahini enyi mbingu na dunia! Bahari na ivume pamoja na vyote vilivyomo!
Shirikisha
Zaburi 96 BHNZaburi 96:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie, Bahari na ivume na vyote viijazavyo
Shirikisha
Zaburi 96 SRUVZaburi 96:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie, Bahari na ivume na vyote viijazavyo
Shirikisha
Zaburi 96 SUVZaburi 96:11 NEN (Neno)
Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; bahari na ivume, na vyote vilivyo ndani yake
Shirikisha
Zaburi 96 NEN