Zaburi 90:1-2
Zaburi 90:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu, Kizazi baada ya kizazi. Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
Shirikisha
Soma Zaburi 90Zaburi 90:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu, Kizazi baada ya kizazi. Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
Shirikisha
Soma Zaburi 90Zaburi 90:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Bwana, tangu vizazi vyote, wewe umekuwa usalama wetu. Kabla ya kuwapo milima, kabla hujauumba ulimwengu; wewe ndiwe Mungu, milele na milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 90Zaburi 90:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Soma Zaburi 90