Zaburi 9:1
Zaburi 9:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee BWANA, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
Shirikisha
Soma Zaburi 9Zaburi 9:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakushukuru Mungu kwa moyo wangu wote; nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
Shirikisha
Soma Zaburi 9Zaburi 9:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu
Shirikisha
Soma Zaburi 9