Zaburi 89:27 - Compare All Versions
Zaburi 89:27 BHN (Biblia Habari Njema)
Nami nitamfanya kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, mkuu kuliko wafalme wote duniani.
Shirikisha
Zaburi 89 BHNZaburi 89:27 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, Kuwa juu sana kuliko wafalme wote wa dunia.
Shirikisha
Zaburi 89 SRUVZaburi 89:27 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, Kuwa juu sana kuliko wafalme wa dunia.
Shirikisha
Zaburi 89 SUVZaburi 89:27 NEN (Neno)
Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza, aliyetukuka kuliko wafalme wote wa dunia.
Shirikisha
Zaburi 89 NEN