Zaburi 86:9-10
Zaburi 86:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mataifa yote uliyoyaumba watakuja; Watakusujudia Wewe, Bwana, Watalitukuza jina lako; Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, Wewe ndiwe mfanya miujiza, Ndiwe Mungu peke yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 86Zaburi 86:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mataifa yote uliyoyaumba, yatakuja kukuabudu, ee Bwana; yatatangaza ukuu wa jina lako. Wewe ndiwe mkuu, wafanya maajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu.
Shirikisha
Soma Zaburi 86Zaburi 86:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mataifa yote uliyoyaumba watakuja; Watakusujudia Wewe, Bwana, Watalitukuza jina lako; Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, Wewe ndiwe mfanya miujiza, Ndiwe Mungu peke yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 86