Zaburi 86:13
Zaburi 86:13 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; umeniokoa kutoka vilindi vya kaburi.
Shirikisha
Soma Zaburi 86Zaburi 86:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Fadhili zako kwangu ni nyingi mno! Umeniokoa kutoka chini kuzimu.
Shirikisha
Soma Zaburi 86Zaburi 86:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana fadhili zako kwangu ni nyingi sana; Umeiopoa nafsi yangu na kuzimu.
Shirikisha
Soma Zaburi 86