Zaburi 82:1-3
Zaburi 82:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu anasimamia baraza lake; anatoa hukumu katika kusanyiko la miungu: “Mpaka lini mtaendelea kuhukumu bila haki na kuwapendelea watu waovu? Wapeni wanyonge na yatima haki zao; tekelezeni haki za wanaoonewa na fukara.
Shirikisha
Soma Zaburi 82Zaburi 82:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu asimama katika kusanyiko la Mungu; Katikati ya miungu anahukumu. Hadi lini mtahukumu kwa dhuluma, Na kuzikubali nyuso za wabaya? Mfanyieni hukumu maskini na yatima; Mtendeeni haki aliyeonewa, na fukara
Shirikisha
Soma Zaburi 82