Zaburi 80:1-2
Zaburi 80:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Utege sikio, ewe Mchungaji wa Israeli, uwaongozaye wazawa wa Yosefu kama kondoo. Ewe ukaaye juu ya viumbe vyenye mabawa, uangaze, mbele ya Efraimu, Benyamini na Manase. Uoneshe nguvu yako, uje kutuokoa!
Shirikisha
Soma Zaburi 80Zaburi 80:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe uchungaye Israeli, usikie, Wewe umwongozaye Yusufu kama kundi; Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru. Mbele ya Efraimu, na Benyamini, na Manase, Uziamshe nguvu zako, Uje, utuokoe.
Shirikisha
Soma Zaburi 80