Zaburi 8:4-5
Zaburi 8:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
mtu ni nini, ee Mungu, hata umfikirie, binadamu ni nini hata umjali? Umemfanya awe karibu kama Mungu, umemvika fahari na heshima.
Shirikisha
Soma Zaburi 8Zaburi 8:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie? Umemfanya mdogo kuliko Mungu; Umemvika taji la utukufu na heshima
Shirikisha
Soma Zaburi 8