Zaburi 71:7-9
Zaburi 71:7-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa wengi nimekuwa kioja, lakini wewe u kimbilio langu imara. Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako mchana kutwa. Wakati wa uzee usinitupe; niishiwapo na nguvu usiniache.
Shirikisha
Soma Zaburi 71Zaburi 71:7-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimekuwa kifani kwa watu wengi, Lakini wewe ndiwe kimbilio langu la nguvu. Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa. Usinitupe wakati wa uzee, Nguvu zangu zipungukapo usiniache.
Shirikisha
Soma Zaburi 71