Zaburi 71:15
Zaburi 71:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kinywa changu kitasimulia haki na wokovu wako Mchana kutwa; maana sijui hesabu yake.
Shirikisha
Soma Zaburi 71Zaburi 71:15 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kinywa changu kitasimulia haki yako, wokovu wako mchana kutwa, ingawa sifahamu kipimo chake.
Shirikisha
Soma Zaburi 71Zaburi 71:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Kinywa changu kitatamka matendo yako ya haki, nitatangaza mchana kutwa matendo yako ya wokovu ijapokuwa hayo yanapita akili zangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 71Zaburi 71:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mimi nitakutumainia daima Na nitaendelea kukusifu zaidi na zaidi.
Shirikisha
Soma Zaburi 71