Zaburi 7:9-10
Zaburi 7:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Uukomeshe uovu wa watu wabaya, uwaimarishe watu walio wema, ee Mungu uliye mwadilifu, uzijuaye siri za mioyo na fikira za watu. Mungu ndiye ngao yangu; yeye huwaokoa wanyofu wa moyo.
Shirikisha
Soma Zaburi 7Zaburi 7:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ubaya wao wasio haki na ukome, Lakini umthibitishe mwenye haki. Kwa maana mjaribu mioyo na fikira Ndiye Mungu aliye mwenye haki. Ngao yangu ina Mungu, Awaokoaye wanyofu wa moyo.
Shirikisha
Soma Zaburi 7