Zaburi 7:6
Zaburi 7:6 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Amka kwa hasira yako, Ee BWANA, inuka dhidi ya ghadhabu ya adui zangu. Amka, Mungu wangu, uamue haki.
Shirikisha
Soma Zaburi 7Zaburi 7:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Inuka ee Mwenyezi-Mungu, kwa hasira yako, uikabili ghadhabu ya maadui zangu. Inuka, ee Mungu wangu, wewe umeamuru haki ifanyike.
Shirikisha
Soma Zaburi 7Zaburi 7:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA uondoke kwa hasira yako; Ujiinue Juu ya ujeuri wa watesi wangu; Uamke kwa ajili yangu; Umeamuru hukumu.
Shirikisha
Soma Zaburi 7