Zaburi 67:1-2
Zaburi 67:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Utuonee huruma, ee Mungu, utubariki; utuelekezee uso wako kwa wema; dunia yote ipate kutambua njia yako, mataifa yote yajue nguvu yako ya kuokoa.
Shirikisha
Soma Zaburi 67Zaburi 67:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake. Njia yake ijulikane duniani, Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
Shirikisha
Soma Zaburi 67