Zaburi 66:18
Zaburi 66:18 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, Bwana asingekuwa amenisikiliza
Shirikisha
Soma Zaburi 66Zaburi 66:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama ningalinuia maovu moyoni, Mwenyezi-Mungu hangalinisikiliza.
Shirikisha
Soma Zaburi 66Zaburi 66:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia.
Shirikisha
Soma Zaburi 66