Zaburi 66:1-2
Zaburi 66:1-2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote! Imbeni utukufu wa jina lake; mpeni sifa zake kwa utukufu!
Shirikisha
Soma Zaburi 66Zaburi 66:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watu wote duniani mshangilieni Mungu! Imbeni juu ya utukufu wa jina lake, mtoleeni sifa tukufu!
Shirikisha
Soma Zaburi 66Zaburi 66:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote, Imbeni utukufu wa jina lake, Tukuzeni sifa zake.
Shirikisha
Soma Zaburi 66