Zaburi 64:3
Zaburi 64:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Waliounoa ulimi wao kama upanga, Wameielekeza mishale yao, maneno ya uchungu
Shirikisha
Soma Zaburi 64Zaburi 64:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Wananoa ndimi zao kama upanga, wanafyatua maneno ya ukatili kama mishale.
Shirikisha
Soma Zaburi 64Zaburi 64:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waliounoa ulimi wao kama upanga, Wanaoyalenga maneno ya uchungu kama mishale
Shirikisha
Soma Zaburi 64