Zaburi 59:9-10
Zaburi 59:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakungoja, ewe uliye nguvu yangu; maana wewe, ee Mungu, u ngome yangu. Mungu wangu utanijia na fadhili zako, utaniwezesha kuwaona maadui zangu wameshindwa.
Shirikisha
Soma Zaburi 59Zaburi 59:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee nguvu zangu, nitakungoja Wewe, Maana Mungu ndiye aliye ngome yangu. Mungu wa fadhili zangu atanitangulia, Mungu atanijalia kutazama kwa ushindi juu ya adui zangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 59