Zaburi 56:9
Zaburi 56:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo adui zangu watarudi nyuma siku ile niitapo. Neno hili najua kuwa MUNGU yu upande wangu
Shirikisha
Soma Zaburi 56Zaburi 56:9 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Ndipo adui zangu watarudi nyuma ninapoita msaada. Kwa hili nitajua kwamba Mungu yuko upande wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 56Zaburi 56:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mara ninapokuomba msaada wako, maadui zangu wanarudishwa nyuma. Najua kweli Mungu yuko upande wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 56Zaburi 56:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo adui zangu watarudi nyuma siku ile niitapo. Neno hili najua kuwa MUNGU yu upande wangu
Shirikisha
Soma Zaburi 56