Zaburi 55:16-17
Zaburi 55:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mimi namlilia Mungu, naye Mwenyezi-Mungu ataniokoa. Jioni, asubuhi na adhuhuri, nalalama na kulia, naye ataisikia sauti yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 55Zaburi 55:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitamwita Mungu, Na BWANA ataniokoa; Jioni, asubuhi, na adhuhuri nitalalama na kuugua, Naye ataisikia sauti yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 55