Zaburi 52:5
Zaburi 52:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hivyo Mungu atakuangamiza milele, atakunyakua na kukuondoa nyumbani mwako; atakungoa katika nchi ya walio hai.
Shirikisha
Soma Zaburi 52Zaburi 52:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Mungu atakuharibu hata milele; Atakuondolea mbali; Atakunyakua hemani mwako; Atakung'oa katika nchi ya walio hai.
Shirikisha
Soma Zaburi 52