Zaburi 51:5-6
Zaburi 51:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ni mkosefu tangu kuzaliwa kwangu, mwenye dhambi tangu tumboni mwa mama yangu. Wewe wataka unyofu wa ndani; hivyo nifundishe hekima moyoni.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, nikazaliwa nikiwa na hatia; Mama yangu akanichukua mimba nikiwa na dhambi. Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni; Nawe utanifundisha hekima kwa siri
Shirikisha
Soma Zaburi 51