Zaburi 51:3-4
Zaburi 51:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakiri kabisa makosa yangu, daima naiona waziwazi dhambi yangu. Nimekukosea wewe peke yako, nimetenda yaliyo mabaya mbele yako. Uamuzi wako ni wa haki hukumu yako haina lawama.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu iko mbele yangu daima. Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi utoapo hukumu.
Shirikisha
Soma Zaburi 51