Zaburi 51:11-12
Zaburi 51:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Usinitupe mbali nawe; usiniondolee roho yako takatifu. Unifanye nifurahi tena kwa kuniokoa, utegemeze ndani yangu moyo wa utii.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usinitenge na uso wako, Wala roho yako mtakatifu usiniondolee. Unirudishie furaha ya wokovu wako; Unitegemeze kwa roho ya upendo.
Shirikisha
Soma Zaburi 51