Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 51:10 - Linganisha Matoleo Yote

Zaburi 51:10 BHN (Biblia Habari Njema)

Uniumbie moyo safi, ee Mungu, uweke ndani yangu roho mpya na thabiti.

Shirikisha
Zaburi 51 BHN

Zaburi 51:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu

Shirikisha
Zaburi 51 SUV

Zaburi 51:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya na kuithibiti roho yangu.

Shirikisha
Zaburi 51 SRUV

Zaburi 51:10 NEN (Neno)

Ee Mungu, uniumbie moyo safi, uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu.

Shirikisha
Zaburi 51 NEN