Zaburi 51:1
Zaburi 51:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Nihurumie, Ee Mungu, kadiri ya fadhili zako; ufutilie mbali makosa yangu, kadiri ya wingi wa huruma yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee Mungu, unirehemu, kulingana na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 51